SPSS
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 711
- 388
Habari za humu ndani, ni matumaini yangu kila mmoja ni mzima wa afya na anaendelea na majukumu ya kawaida ya kila siku. Kwa wale wagonjwa Mungu awaponye mjumuike nasi kuutafuta mkate wa siku.
Dhumuni hasa la kuanzisha hii thread ni kutaka kuyaongelea mahusiano in a very positive way na wale wenye mifano halisi mtatusaidia kuitoa il kuingeza uhalisia wa mada.
Kwa kias kikubwa wana mmu tumekua tukileta mikasa...kusalitiwa,kupoteza uaminifu na mengine mengi of that kind ila tunasahau kuna upande wapili wa shilingi kua kuna ambao wako kwenye mahusiano wanavumiliana wanapendana na maisha yanaenda vizuri kabisa.
Binafsi ni muhanga wa mahusiano ambayo hua hayaishi vzr au kwa kifupi they never last..so embu kwa wale ambao wanakua na inspiratinal strories kwenye their surviving relationship watushirikishe na ikiwezekana watuambia siri ni nn
Ntaomba thread hii iwe a positive inputs kwenye any existing relationship na ata zile zinazotarajiwa kuanzishwa,binafsi nitakua wakwanza kupokea kwa mikono miwili ushuhuda na ushauri on how to make it last
Uwanja ni wenu,karibuni sana