ni kwel huyu mwanaume anamapenz na mm??

sekitova

Member
Jul 12, 2011
26
4
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by da tym nilikua na m2 na yy alikua na wake,ikatokea nikagombana na mpenz wangu mpaka tukaachana na yy alijua pia coz tulikuwa close.,.nimekaa single km 7month na yy stil akawa ananiambia ananihitaj na kudai wameachana na mpenz wake,now nimemkubal and i real fil 4 him then yy anadai yupo dilema btn me n girl wak
 
Huyo “boy“ msubirie awe mwanaume ndo atajua anachotaka.
u knw what,da thing is nilikua nae chuo.,.the aliniakikishia kuwa wameacha na mpenz wake,bt now anadai yupo dillema coz ni kwl anania nzur nam but stil anafilings na x wake bt kaniomba nimpe mda aamue!ukwl aliniumiza sn .....dats y nashindwa kumwelewa!!
 
hana pendo kwako thats y anamtamani x wake had kesho. Jivue gamba mapema dogo!
 
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by da tym nilikua na m2 na yy alikua na wake,ikatokea nikagombana na mpenz wangu mpaka tukaachana na yy alijua pia coz tulikuwa close.,.nimekaa single km 7month na yy stil akawa ananiambia ananihitaj na kudai wameachana na mpenz wake,now nimemkubal and i real fil 4 him then yy anadai yupo dilema btn me n girl wak
Expectations zake hazija match na alichokikuta kwako baada ya kumkubalia.periodHili ndo tatizo letu wanaume, sexual desires inaweza ikuchanganye ufikiri unampenda binti kumbe si kweli. Prbm aliyonayo jamaa kwa sasa na ambayo nahisi inamtesa ni comparison anayoifanya kati yako na ex wake. Sasa kama ex wake kaujaza ubongo wake kuliko wewe basi tena penzi lenu ndo baibai.
 
he heeee
english yako mi niko hoi..
ukichanganya na kiswahili ndo kabisaaa
wewe kweli sharomaro,au sharobaby sio?
 
achana nae hyo hajaachana na x wake alikudanganya angekuwa ameachana nae asingekuwa dilema angekuwa na ww?
 
Ishakukost dada angu,hta me nina kisa kama chako hivyo hivyo,nlikua na rafk yangu wa kike na alikuwa na mpenz wake,na mimi nilikua na mpnz wangu ambae alikuja kuolewa bdae,baada ya rafk yangu kujua mpnz wangu kaolewa akani approach,cjamkubalia bado japokuwa nipo single na alinambia ameachana na mpnz wake make alikua mlevi sana na mzinzi,vitu ambavyo anasema kwangu hajaviona,haya sasa...Na huyu ananipenda kweli? Au ana lake jambo??
 
Ungeandika kiswahili ingenoga zaidi ila hapo veve tumia lugha mbili changanya mimi, imezoea veve changanya lugha? inachanga pia midume? Vipi huko Fb mmeshindwana tena?
 
he heeee english yako mi niko hoi..ukichanganya na kiswahili ndo kabisaaawewe kweli sharomaro,au sharobaby sio?
jaman mm nashindwa kuelewa,...uko humu ndan kwa ajil ya kucoment lugha za watu or kuchangia mada.??km unakua hujisikii ni bora ukaacha bt sio kujiona uko much perfect than others!!mbona wenzako wanachangia vzr tu...?iweje hayo uyaone ww tu!!
 
kama unata kusaidiwa lazima ujifunze pia ustaarabu
wa lugha ipi ya kutumia..
sasa kama kiswahilli fasaha unaweza ya nini
kuja na lugha za kitoto humu?
 
Kama co umalaya huo ni nin,yan m2 unadanganywa kijinga 2 na wewe unakubali,na utabaki kuchezewa hvo hvo 2!huyo msela hana mpango na wewe tena...tafuta mwingne 2
 
Huyo alitaka kupiga muhuri tu na kafanikiwa kwahiyo karudi kwa 'waukweli' pole sana jifunze na uanze upya.Hapa watu wengi ni over 30yrs kwahiyo lugha hiyo ya chatting hatuielewi au inatupa shida ilibidi nisaidiwe na niece wangu kuelewa.
 
Huyo ni mwizi wa mapenz.anawachanganya tu hana lolote.take ur tym subir omba mungu atakupa mume mwema.
 
Back
Top Bottom