Habari zenu wanajukwaa!! Leo nimefuatwa na kijana mmoja akiomba nimtoe ktk mtanziko alionao baada ya mkewe kujifungua.
Alikuja kwangu kuomba ushauri lkn alikuwa na maswali yaliyonipa changamoto nikaona niyalete kwenu. Maswali yake ni haya:-
1. Hivi ni kweli mume akicheza mechi za nje huku mkewe akiwa na mtoto mchanga, mtoto anapata madhara ya kiafya? Kivipi?
Swali hili nililijibu haraka haraka kwa kutumia rejea za stori za vijiweni kwamba madhara ya kiafya kwa mtoto yapo. Moja anachelewa kutembea, anakuwa dhaifu na anaweza kuwa anatokwa na makamasi kwa wingi.
Hapa kwenye kivipi? Nikakwama
2. Vipi wale wenye wake wengi? Inakuwa vipi?
Hili ndiyo swali lililonifanya nigundue nimeingia chaka.
Naamini humu kuna wajuzi na wajuvi wa mambo. Naombeni maelezo kama kuna ukweli ktk hilo.