Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,227
Naamini kabisa kwa asilimia kubwa kubadilika tabia kwa mke ni matokeo ya tabia chafu za mume, wanawake wengine wanaweza kutendwa lakini kutokana na hofu ya maisha basi wanajikuta wakiuguza donda lisilopona.
Maamuzi yanahitajika kwa kila mwanamke.
Maamuzi yanahitajika kwa kila mwanamke.