mkuuu yeye anataka nikienda kwao n posa,mahari Na engagement..Anadai wazazi wake hawana tatizooo Na mm kujulikana siku ya matukio hayooo..kimsingi nilitaka twende kwetu angalau wazazi wamfahamu kabla ya kwenda kwao Na hapo ndipo drama zikaanzaaaMi sijui uelewa wangu mdogo. Mbona mm sioni tatizo hapo? Au we unaona shida gan kumpa nauli?Na ipo shida gani kwenda kwao kwanza kabla hajaenda kwenu?
Je itakapofika mahali utahitajika kununua pete tatu na wewe unaishia kuvaa moja yeye mbili utanunua kweli?
Wewe unaoa mwanamke bila kujua kwao unafikiri ndoa ni watu wawili tu? Lazima uwajue wakwe, wakoje wanakuchukuliaje na wewe utahusiana nao vipi kuna mambo mengi ya kujifunza sio kutambulishwa tu.Hii ishu si kubwa kivile.. Nilidhani amekataa kutambulishwa kabisa.
Kwanza mimi sitarajii hayo masuala ya kutambulishana. Huko ukweni wataniona siku ya send-off.
Mchakato ya ndoa za kileo ni migumu kama ya kwenda nchi ya ahadi, kumbe ndoa ndoana.
mkuu hilo hasa la yeye kutojali familia yangu lilinijia Mara nyingi katika akili yangu lakin niliogopa kujump on conclusion pasipo kuomba ushauri..Thanks nazidi kufahamu ambavyo wanaume wenzangu mnavoelewa haya mamboWewe huyu tupa atakuja kukusumbua. Mwanamke gani anakuambia sio lazima kwenda kwa wazazi? mtu hajaolewa anashindwa kuthamini wazazi wako akiolewa je? Then kwanini awaze nauli kitu kidogo kama hicho kwaajili ya manufaa yake kwani faida ya ndoa ni ya mume tu. Kiufupi ni mbinafsi usijekuja kushangaa anakuambia najenga nyumba yangu na wewe jenga yako
Lakin tukubaliane unapooa mke anakua sehemu ya familia yakooo hata kama we ndo utakua Na nafasi kubwa kama mwanaume juu yake.Nadhan kuna unuhimu mkubwa wa familia kijua Nani anayeongezeka kwao kabla ya mm kumuongeza(kumuoaa) aje kuwa sehemu ya familia yetuHii ishu si kubwa kivile.. Nilidhani amekataa kutambulishwa kabisa.
Kwanza mimi sitarajii hayo masuala ya kutambulishana. Huko ukweni wataniona siku ya send-off.
Mchakato ya ndoa za kileo ni migumu kama ya kwenda nchi ya ahadi, kumbe ndoa ndoana.
Usikubali kwanini ufanye haraka sana? utaendaje kujitambulisha nakutoa posa na kuvalisha pete kwa wakati mmoja huku wazazi wako hawamjui? Ndoa zinaunganisha familia mbili sio kitu cha watu wawili tu.mkuuu yeye anataka nikienda kwao n posa,mahari Na engagement..Anadai wazazi wake hawana tatizooo Na mm kujulikana siku ya matukio hayooo..kimsingi nilitaka twende kwetu angalau wazazi wamfahamu kabla ya kwenda kwao Na hapo ndipo drama zikaanzaaa
mkuu niliwahi muandalia nauli December mwaka janaaa aliishia kunambia kazi zmembanaaaa Na kunipa mifano hiyo ya marafik zako waloolewa kabla ya kupelekwa kwa wazazi.Mchezo huo umeendelea piaaa mwaka huu..Najua nauli n jukumu langu Na kwa kipato chake najua anaweza kuimudu Na wala sikupinga juu ya kumpatia yeye..Tatizo n kwa nn amekua akitia vikwazo juuu ya yeye kwenda kwetu kablaaa huku akitaka mm niende kwao wakat wa posa,mahari Na engagement kwa kisingizio wazazi wake hawana tatizo Na kunifahamu au kutonifahamu kabla ya hayo yoteMimi naona ni power-play hapa. Mwandalie nauli kisha mwende kwenyu.
thanks naona ubongo wangu unatanuka..naongeza ambayo nilidhani sivyooo..Nahisi huu n ubinafsi wa Hali ya juu..kuna matamanio ya kuvaaa gauni la harusi zaidi ya maisha ya ndoa hapaaaaaUsikubali kwanini ufanye haraka sana? utaendaje kujitambulisha nakutoa posa na kuvalisha pete kwa wakati mmoja huku wazazi wako hawamjui? Ndoa zinaunganisha familia mbili sio kitu cha watu wawili tu.
Nikweli ulishosema, tatizo huyo wake ameanza kumpa mashariti ya kutumiwa nauli as if hilo jambo yeye halihitaji sana.Ni makubaliano yenu tu jamani wala usipate wasiwasi.mimi wangu alikuja kwanza home kwetu akajitambulisha akaacha na kishika uchumba then ndio akanipeleka kwao. Umaweza kumpeleka kwenu halafu kwao wakakutosa
hilo ni jema kwa kuwa mlikubaliana hivyoooo...Mm nilikubaliana nae kwenda kwetu kwanza Jambo ambalo kwangu naona ni la busara zaidi..Lakin yeye kwake n kama usumbufu Na halina umuhimu Na lengo la kutaja nauli(Tena tiketi ya ndege)..nadhan n sehemu mojawapo ya kuinua vikwazo zaidi..Nawaza siku kutatokea tatizo katika familia baada ya kuingia katoka ndoaaa hatokua Na mashart tena kama hayaaaa...Ni makubaliano yenu tu jamani wala usipate wasiwasi.mimi wangu alikuja kwanza home kwetu akajitambulisha akaacha na kishika uchumba then ndio akanipeleka kwao. Umaweza kumpeleka kwenu halafu kwao wakakutosa
Hapo sasa ndio penye tatizo labda anafikiri kila kitu kwenye mchakato wa harusi ni mwanaume anatakiwa kuwajibika.ila awe nae makini aanza kuwa na misimamo imara kabla ya ndoa maana isije kuwa tabu huko mbeleni.Nikweli ulishosema, tatizo huyo wake ameanza kumpa mashariti ya kutumiwa nauli as if hilo jambo yeye halihitaji sana.
We mpe tu msimamo wako mapema kabisa kabla ya ndoa asije kusema kuwa umebadilika baada ya kumuoa. Anapaswa kukusikiliza kama mume wake na si vinginevyo.ziba huo mwanya haraka kabla ya kuwa pengo.hilo ni jema kwa kuwa mlikubaliana hivyoooo...Mm nilikubaliana nae kwenda kwetu kwanza Jambo ambalo kwangu naona ni la busara zaidi..Lakin yeye kwake n kama usumbufu Na halina umuhimu Na lengo la kutaja nauli(Tena tiketi ya ndege)..nadhan n sehemu mojawapo ya kuinua vikwazo zaidi..Nawaza siku kutatokea tatizo katika familia baada ya kuingia katoka ndoaaa hatokua Na mashart tena kama hayaaaa...