mama chanja
Member
- Jan 1, 2016
- 67
- 66
Habari zenu wote,
Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi, honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana.
Nahisi kama sijui nina bahati mbaya gani, sababu tangu naanza kujihusisha na mapenzi sijawai kuwa na mwanaume ambae ni wa pekeangu yani hana mke na familia kwa muda, mara ya kwanza kabisa nilikua na uhusiano na mwanaume mtu mzima kabisa ila hakuwahi kuniambia kwamba ameoa na wala sikuwahi ku doubt sababu hajawai kunipa sababu za mimi kumtilia mashaka, mara zote nilipokua namhitaji hata usiku alikua na uwezo wa kuja na hata simu tulikua tunaongea mpaka usiku mnene sana kwahiyo sikuwahi kuwaza kama pengine angekua na mke.
Labda kitu kimoja tu ambacho kwa wakati huo sikuwahi kukiwaza ni kwamba hakuwahi kunipeleka kwake, mara nyingi tulikua tukikutana hoteli au kusafiri pamoja, issue ilikuja kusanuka baada ya mkewe kunifatilia kwa Muda mrefu na ndo nikajua kwamba jamaa ameoa the guy aliniomba msamaha sana sana akadai at first hakuwa na mpango wa kulast na mimi ndo mana hakuona sababu ya kunambia and hata alipojaribu kunambia alihisi ningekasirika nikamuacha.
Kulitokea misunderstanding nyingi sana ila at last nikaamua kuachana nae. The man alikua na mapenzi sana na mimi, he was an amazing man and of course na mimi nilikua tayari nimefall kwake sasa pamoja na kuachana, nimekua kama psychologically affected maana wakaka yani nawaona kama hawatanipenda the way that man used to love me.
Tangu kipindi hiko am only dating grown men ambao bahati mbaya inatokea wote wanakua wameoa na familia zao na ndio hao wanaokua na mapenzi ninayoyataka mimi.I feel really guilty lakini sijui nifanye nini, nimejaribu kujihusisha na vijana wenzangu kama mara mbili hivi lakni naona kabisa sipo comfortable wala sina upendo nao kabisa, wana mambo ya ajabu wivu kufuatiliana sana na mambo mengne nisoyapenda mimi. I want to change niachane na wababa jamani, just advice me what can I do?
Nitashukuru mtu asinitukane, I took my time writing this and ni kitu ambacho kinaumiza sana sasa ukizidi kuniumiza haitakuwa vizuri if you don't have anything to say better unyamaze tu.