Wanawake wa MMU, nisaidieni swala hili

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,691
Hivi ni kweli ukubwa wa uume ndio unaweza kumridhisha mwanamke kimapenzi au kuna la ziada?
 
Hivi ni kweli UKUBWA wa Uume Ndio Unaweza kumridhisha Mwanamke kimapenzi au kuna la ziada?

Mkuu hao ili waridhike lazima uwe na pesa kwanza wafeel safe kuwa na wewe na hii huchagizwa na confidence juu yako kwani wanaweza pata zawadi au fanya manunuzi ya mahitaji yao muhimu na ya ziada pia uwape security muhimu kama utoe malazi n.k!
Baada ya yote hayo kama una dushe ndogo au kubwa ni juu yako la msingi uweze kumgusa aone raha ya dunia mkiwa faragha.
 
Ufundi wako katika kukuna ndio unaoweza kumridhisha bidada. Hizo physical properties haisaidii kinachohitajika ni technics
 
Mkuu hao ili waridhike lazima uwe na pesa kwanza wafeel safe kuwa na wewe na hii huchagizwa na confidence juu yako kwani wanaweza pata zawadi au fanya manunuzi ya mahitaji yao muhimu na ya ziada pia uwape security muhimu kama utoe malazi n.k!
Baada ya yote hayo kama una dushe ndogo au kubwa ni juu yako la msingi uweze kumgusa aone raha ya dunia mkiwa faragha.
kweli kabisa mkuu
 
Nimeutaja tu kwa kuonyesha kuwa limguu la mtoto haliwezi kushikilia mahusiano. Kudhani kuwa maumbile makubwa ya mwanaume ndio kigezo cha kupendwa, haina tofauti na kuwaza kuwa mwanamke mweupe, ama mwenye makalio makubwa ana nafasi kubwa zaidi kwenye mahusiano. Ama kuwa na gari kali, ama pesa; unaweza ukaachwa mataa na pesa zako ukashangaa marioo wa sinza anakupiga overtake
Uliyoandika ni kweli tupu, ila maandishi yako hapo mwishoni bado inaonesha usuperior wa limguu la mtoto kwa kibamia.
 
Nimeutaja tu kwa kuonyesha kuwa limguu la mtoto haliwezi kushikilia mahusiano. Kudhani kuwa maumbile makubwa ya mwanaume ndio kigezo cha kupendwa, haina tofauti na kuwaza kuwa mwanamke mweupe, ama mwenye makalio makubwa ana nafasi kubwa zaidi kwenye mahusiano. Ama kuwa na gari kali, ama pesa; unaweza ukaachwa mataa na pesa zako ukashangaa marioo wa sinza anakupiga overtake
Kwahiyo ww hupendi madude makubwa kbs?
 
navojua mimi ////as a boy sio uwe na kitu kimoja et mguu wa mtoto au mkubwa ,vitu ving mfano hela swaga , tabia flan ambayo hakuelew usijulikane completely
 
Wanaume wasi o t. O. M bwa ....ndio wanachangia...kesi ya nyani mjibuji ni ngedere
 
Nimeutaja tu kwa kuonyesha kuwa limguu la mtoto haliwezi kushikilia mahusiano. Kudhani kuwa maumbile makubwa ya mwanaume ndio kigezo cha kupendwa, haina tofauti na kuwaza kuwa mwanamke mweupe, ama mwenye makalio makubwa ana nafasi kubwa zaidi kwenye mahusiano. Ama kuwa na gari kali, ama pesa; unaweza ukaachwa mataa na pesa zako ukashangaa marioo wa sinza anakupiga overtake

Point yangu ni kwamba kukiwa na mwanaume A mwenye Upendo, kujali, mnyenyekevu mwaminifu anayekupenda kwa dhati nk ila ana kibamia na mwanaume B mwenye Upendo, kujali, mnyenyekevu mwaminifu anayekupenda kwa dhati nk ila ana limguu la kuku....... Yupi atakuwa Chaguo.

Yaani hao wanaume watofautiane kwenye dushe tu ila vingine vyote wafanane.
 
Mmmmhhh apo kwenye makalio sikubaliani.wwweeeee makalio yananifanya niwapende zaidi
 
Ili kujua yupi anakufaa zaidi utahitaji kulalana na wote wawili, which makes you a whor$.

Point yangu ni kuwa, issue ni orgasm Alongside furaha zingine za maisha. Anaethamini zaidi, mwaminifu zaidi, mnyenyekevu zaidi ana chance kubwa zaidi.
Point yangu ni kwamba kukiwa na mwanaume A mwenye Upendo, kujali, mnyenyekevu mwaminifu anayekupenda kwa dhati nk ila ana kibamia na mwanaume B mwenye Upendo, kujali, mnyenyekevu mwaminifu anayekupenda kwa dhati nk ila ana limguu la kuku....... Yupi atakuwa Chaguo.

Yaani hao wanaume watofautiane kwenye dushe tu ila vingine vyote wafanane.
 
Nadhan kuna range size ambayo ni standard ya U u me. Lidude likubwa linapendwa na wanawake wachache ambao labda nao wana k pana kwa asili au kwa kujamiiana sana na watu mbalimbali. Mwanamke mwenye k ya kawaida hawez penda lidushe likubwa tena la jamaa anayetumia miguvu hapo ni maumivu tuu.
 
Back
Top Bottom