Potifar
Senior Member
- Aug 4, 2013
- 171
- 51
Habari Wana JF,...
Mi ni mshirika mpya ktk JF, baada ya kufurahishwa na kupendezewa sana na kile kinachojadiliwa humu ndani nimeamua kujiunga,..
Baaada ya kufanya utafiti kwa kina nimekuja gundua kuwa Mabinti wengi hapa mjin wamewekwa vimada aka Nyumba ndogo, sababu kubwa niliyoibainisha ni Umasikini na uzembe wa mabinti wengi katika kufanya kazi ama kutafuta njia za kuwaingizia vipato, kwa hali hiyo bas imepelekea madingi wengi kujikuta wakipanga msululu wa nyumba ndogo,.....
tuwe wakwel tu jaman hivi wewe unahisi ni kipi kinachopeleka Mabinti kuwekwa nyumba ndogo??????????