BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
'I have been around,I have known a lot of woman's during my time,they gave me a lot of fun and a lot of grief '
Naongelea wadada wanaopokea hela za wanaume kwa kuomba au kupewa kama kifuta jasho (kuhongwa) hapa kuna wake za watu(wanaochepuka) na wadada huru wasio kwenye ndoa.
Ni kawaida kadri unavyopata hela zaidi ndio mahitaji yako yanaongezeka (refer law of income) lakini ni muhimu matumizi yaonekane na kipato pia tukione, lakini hawa wadada walio wengi njaa haziishi!Unakuta mdada anawanaume watano anawapanga na kuwapiga hela lakini kila siku hana hela anaomba hela, baadhi walioolewa wenye vidumu vyao nao mtaani anapiga mizinga nyumbani official hubby naye anahudumia.
Swali langu hela mnafanyia nini? Wekezeni hizo hela zenu za haramu angalau njaa zenu zipungue! Fanyeni vitu vya maana viwe kumbukumbu ya biashara yenu isiyo rasmi. Usipokuwa na kitu cha maana unachokifanya na hizo hela unakuwa kama unatumbukiza hela kwenye shimo lisilojaa ujana/uzuri unapita utakuja kujuuta fursa unazozikosa za kuwekeza.
Asanteni sana hayo tu kama hujawahi honga/kuhongwa hii mada haikuhusu.