kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,356
- 789
Hapa nazungumzia walioishi kwenye ndoa kuanzia miaka mitatu na kuendelea
Mara ya mwisho kumnyonya mkeo ndimi zake ni lini kama mlivyokuwaga mnafanyaga kile kipindi cha mitongozo jaman maana me hili swala naona kama lanigusa kwa namna fulani yani, sasa ningependa kusikia kutoka kwenu wadau.
Nawasilisha kwa majadiliano zaidi
Juma pili njema.