Mwanaume mwenye hitaji la kuwa na mwenza ajitokeze

AnnaG

Member
Feb 28, 2016
37
33
Habari zenu wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu ya changamoto za maisha.

Karibuni PM tuongee zaidi.
 
siku hizi tumekuwa dili sana.bahati mbaya yako siku hz hatuoi tupo bize na maisha.na ukizingatia hii tumbuatumbua ya ngosha ilivyotukosesha mafuta!?mtatusaka sana na mwisho tuishie kuwadyudyuga tu.anyway sifa zote ninazo.ongezea na ile sifa pendwa ya mkwanja ninao.lakini je,ka bikra orijino unako?kasije kuwa kamalimao na makwokwa ya maembe dada!
 
Nina sifa hzo zote nitafute, ninajua kupenda ila sijawahi kupendwa, labda utakuwa wa kwanza!!! Tatty bby umesikia habari hyo, mdada huyu anataka kukunyang'anya tonge mdomoni !!, uko wapi tatty sweetie? Always follow your heart and nothing more.
 
Habari zenu wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu ya changamoto za maisha.

Karibuni PM tuongee zaidi.
Habari zenu wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu ya changamoto za maisha.

Karibuni PM tuongee zaidi.
Unapatikanaje? Nope mawasiliano yako
 
Habari zenu wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu ya changamoto za maisha.

Karibuni PM tuongee zaidi.
 
ubaya ni pale utakakwenda kumuona kwa mara ya kwanza unaweza ukajikuta ukitoa shikamoo bila kutarajia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom