Ushauri kwa dada zangu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,528
6,085
Kuna msemo unasema,cheza ngoma huku ukiangalia ka jua kimaadili kufanya mapenzi wakati hujaolewa au kuolewa ni kosa kubwa japo ni vitu ambavyo vipo katika jamii.Watu wazima wanasema ujana ni kama ndoto ya alfajiri kila unachoota ni kitamu na kinaonekana kuwezekana upatikanaji wako.

Akina dada wanaosaka uzazi hasa walioharibu mifumo yao ya uzazi labda kwa kutoa ujauzito hasa walipokuwa katika harakati za kula ujana,huwa wanakua katika mateso makubwa sana kisaikolojia.

USHAURI WANGU,usijirahisi sana katika mapenzi hasa kwa kuuharibu uzazi wako kwani kuna siku utautafuta na huta upata,kiu ya maji haikatwi kwa soda,mtoto wa kuasili si wako (japo simaanish kuwa kuasili watoto ni vibaya)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom