Naomba ushauri kuhusu kuoa

Tena fanya hivyo haraka maana ni bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa
 
Njombe kwenu wanaogopa wanawake wasomi..pia muache ubahiri na kuoa mitara.
 
Heeee ukabilanaizeshen alokwambia ukimuoa mtu was kabila lako ndo mtakua na aman ni nani?? Acha ushamba wa kuendekeza makabila makabila kwahy kama ulikua unajua unataka mkinga mwezio huyo bint wa watu ulomfirigisa utampeleka wapi..kama ulikua unataka kuoa kwenu usingekua kwenye mahusiano ungesubir muda wako ufike uende njombe ukaoe urud na mkeo daisaama..
 
INASIKITISHA SANA
yaan nyinyi ndio mnaowaharibu wa KINADADA mioyo yao mwishowe wanakuwa wakatili kwa wanaume araf baadae mnakuja kujalamika oooh mademu wa sasa wanazingua hapo umri ushasonga unaikimbiza 40y bila hata mtoto wa kusingiziwa ndo mnaanza kulalamika baada ya hiyo ya kutaka wa KWENU
7bu hapo mwenzako anajua kuwa ataolewa na wewe kumbe wewe una mpango nae kbsa ila unampa imani kumbe unamtaka mbena sijui mkinga mwenzako wala una mpango na huyo MDIGO
sasa ikatokea ukamuaacha akakutana na wanaume wawili tena wenye tabia kama zako si anapoteza hata hio morali ya ndoa mwishowe unawaharibia wenye nia ya kweri wakimtokea anahisi ni walewale tu
badilika ndugu Kuwa mkwelii
km MSICHANA huna mpango nae mchane tu kuwa mpo kwa PART TIME
sio unampa imani ya ndoa kumbe una mpango naye inakuwa inawaumiza sana mioyoni mwao mpaka kiasi inajenga KUTU
km unamtaka mbena sijui mkinga nenda kwenu njombe au KARIAKOO
acha kuwapotezea muda wadada wa wenzio
araf hiyo chaguachagua sanaa mwishowe utapata KOLOMA araf ukome
 
Tena nenda haraka ukingani kwenu.Bado unataka kuendeleza mbegu fupi na nyeusi?
 
Rudi kwetu kaka angu kaoe wanawake wa kikinga n kweli usemacho ndoa za kabila moja znadum sanaaaa af vle akili yako umeitune ivo ukioa kabila hata kakitokea ka issue utasema ksa cyo mkinga/mbena...ningekupa ndugu zng wakinga sema ukute we kaka angu hahaha
 
oa huyohuyo umesema umechelewa kuoa alafu unataka ukamtafute mwingine, utajua tabia yake sa ngapi umri nao haukusubir
 
Wakushauri kuhusu kuoa kwani watakiganyia maamuzi ukishaingia kwenye hiyo ndoa??

Unaonekana unajua ukitakacho, huko kumbwelambwela vepeee?
 
Bado haupo tayari kwa ndoa ama Habari ulizopata kuhusu ndoa ni za kupotosha.
Kama lengo lako kuu la kuoa ni kudumu kwa ndoa bado Una safari ndefu.
Ukipata anayekufaa huwa hakuna Wazo la ndoa kudumu ama kuvunjika.
Oa kabila lako Ili mzungumze kilugha Na iwe rahisi kwenda likizo pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom