Demu wa FaceTime

Demu wa FaceTime

Bak byzo I.T

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
266
Reaction score
125
Nataka friend wa kike wa kuchat nami facetime

Ani PM facetime user ID yake kama ni email or number.
 
In a serious note, what mtoa mada want to tell us?
 
Mkuu kama ndio hivyo ngoja waje, utawapata usihofu
 
Watumiaji wa Iphone ni wachache sana... na hata ukiwapata wapo busy Instagram...
 
Naichukia Facebook
Nakushauri ili kumpata kwa urahisi, kwanza nunua simu yenye Iphone umpatie huyo Demu bureee! Kwa kuwa ushaambiwa watumiaji wa Iphone ni kiduchu na kwa mpango huu ulonanao kusubiri bwerere, utasubiri saaaanaaa.
 
hehehe! kila lakheri! kwanini demu tu?
 
Nakushauri ili kumpata kwa urahisi, kwanza nunua simu yenye Iphone umpatie huyo Demu bureee! Kwa kuwa ushaambiwa watumiaji wa Iphone ni kid uchi.
Iatakuwa ngum kwa kwel wacha tu wasije.
 
Back
Top Bottom