wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,353
niko more interested kujua gharama za harusi naomba mnisaidie kupata mchanganuo mzuri wa gharama zake nataka kufunga ndoa ya kislam mwezi wa 5
maitaji ya watu yawe watu 200 lakini pasipo pombe lakini iwe ya kuvutia
Mavazi ya bibi harusi yawe classic nipate gharama zake
Mavazi yangu mwenyewe yake classic nipate gharama zake
Gharama za honeymoon iwe zanzibar plus sherehe yenyewe iwe nzuri
Asanteni nina imani mtanisaidia kupata mchanganuo mzuri wa gharama zake