Wanaume wenye vitambi

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,656
Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au wafanyakazi wenzagu ni wazinzi sijawahi kuona.

Sasa usikute ana kitambi halafu mnene, ni balaa. Ole wako sasa ukute ana kitambi, mnene halafu mfupi, huyo hatakuwa mzinzi, wengi wa dizaini hiyo ni wazinzi plus. Vile vile hawa jamaa ni wasiri sana, ingawa huonekana ni watu rahisi "easy going", wanapenda stori stori za kuchekesha, hasa na wanawake, na kila jambo hulichukulia kiurahisi. HAWA JAMAA WANAONGOZA KWA KUWA NA WATOTO NJE YA NDOA.
 
Mnene halafu mfupi, umesahau halafu mweupe, mkuu ukimaliza kusoma comment yangu, attach hiyo research yako nione km ulimchumguza kila mtu akiwa anasex km Ni chumban, bafun, porin nk na mm nikuunge mkono maana una inaoneka una ushahid wa kushiba
 
Mkuu ngoja nikusaidie kuliweka bandiko lako kisayans...
Kuna sifa(characteristic)nyng tu za human ngoja tuangalie hiz kupitia psychiatric
1/Hypomania(mania)
sifa ya watu hao
:ni mfupi,kifua kipana,mchesh,hatulii sehemu moja anapendelea nguo za kuonekana sana na pia ana high Libido(kuwa na hamu ya Ku do mapenz sana)
Mara nyng huota kitambi,,km ni demu anashepu sana na mkiweka ahad(promis) lazima aje never cancel a Promis May be iwe tatizo lko njee ya uwezo wake,,unaweza pia ukajichunguza au ukamchunguza demu wako km ni mfupi hana complications sana ukimwambie aje mageton.
2/Schizophrenia
..mrefu, shingo ndefu they hav long extremities
Low Libido,,hawana time sana na mapenz japo they satisfy more thn any one kwenye sex,na anapendelea zaid mapenz ya sir..hapend show off
Huwa wamapenda kuahirisha mambo,,cancel the Promis km ni demu anaweza kuja geto siku usio tegemea na mlpanga aje siku fulan km unademu mrefu jaribu kumchunguza...
Kwahiyo tabia na hulka za mtu huwa zinaendana na maumbile yake pia jins alivyo tu
 
Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au wafanyakazi wenzagu ni wazinzi sijawahi kuona.

Sasa usikute ana kitambi halafu mnene, ni balaa. Ole wako sasa ukute ana kitambi, mnene halafu mfupi, huyo hatakuwa mzinzi, wengi wa dizaini hiyo ni wazinzi plus. Vile vile hawa jamaa ni wasiri sana, ingawa huonekana ni watu rahisi "easy going", wanapenda stori stori za kuchekesha, hasa na wanawake, na kila jambo hulichukulia kiurahisi. HAWA JAMAA WANAONGOZA KWA KUWA NA WATOTO NJE YA NDOA.
Weye naona hao jamaa walikulia keki yako.Maana ktk nchi yetu Watu wenye vitambi ndio wanajulikana Kama wanautajiri.Dadazetu lazima ang'ag'anie hivyo vitambi.
 
Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au wafanyakazi wenzagu ni wazinzi sijawahi kuona.

Sasa usikute ana kitambi halafu mnene, ni balaa. Ole wako sasa ukute ana kitambi, mnene halafu mfupi, huyo hatakuwa mzinzi, wengi wa dizaini hiyo ni wazinzi plus. Vile vile hawa jamaa ni wasiri sana, ingawa huonekana ni watu rahisi "easy going", wanapenda stori stori za kuchekesha, hasa na wanawake, na kila jambo hulichukulia kiurahisi. HAWA JAMAA WANAONGOZA KWA KUWA NA WATOTO NJE YA NDOA.

Kuna ka ukweli hapo, maana nami nina kitambi a.ka. mimba kama ya miezi 3, napenda wanawake, mcheshi na nina mtoto nje, MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU..
 
That is a very stupid research. Kitambi is not a trait to influence someone's behaviour. If anything, visceral fat reduces testosterone, a male hormone.
 
Mimi nilikuwa nafikiri kuwa ndo hawayawezi mambo yetu,kumbe tena ndo wakali balaaa!!Au ndo wale waliokuwa wanalalamikiwa humu na exceptional lady kuwa wanakera,kuwaacha wenzao hata hawafika kileleni,wao chaliii!!?
 
Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au wafanyakazi wenzagu ni wazinzi sijawahi kuona.

Sasa usikute ana kitambi halafu mnene, ni balaa. Ole wako sasa ukute ana kitambi, mnene halafu mfupi, huyo hatakuwa mzinzi, wengi wa dizaini hiyo ni wazinzi plus. Vile vile hawa jamaa ni wasiri sana, ingawa huonekana ni watu rahisi "easy going", wanapenda stori stori za kuchekesha, hasa na wanawake, na kila jambo hulichukulia kiurahisi. HAWA JAMAA WANAONGOZA KWA KUWA NA WATOTO NJE YA NDOA.
"Ha ha ha Kijana naona unanizungumzia wewe.."
 
Back
Top Bottom