Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,024
"Nimekuwa ktk mahusiano na wasichana tofauti tofauti ktk nyakati tofauti, relationships hazijafanikiwa kumpata yule ambae nilitegemea atakuwa wangu wa milele,wasichana wengi nlokutana nao ni money oriented,wasichana wanapenda pesa utafkiri walizaliwa benki!!sasa nimeamua sitaki demu,yani sitaki commitment na demu yeyote kwa sasa!!Ila hamu yangu ya ngono ntaimalizaje?je,ninunue malaya au nipige nyeto? Kipi bora? Naomba ushauri wako bro"
HUYO NI MSHKAJI WANGU KANIOMBA USHAURI,NAMI NIMEKWAMA,NAOMBA NISAIDIWE MAWAZO TOKA KWENU WADAU.THX
HUYO NI MSHKAJI WANGU KANIOMBA USHAURI,NAMI NIMEKWAMA,NAOMBA NISAIDIWE MAWAZO TOKA KWENU WADAU.THX