Habari za jioni wana jamii forum,
Mimi napata shida sana kwenye haya mambo ya mapenzi. Nimekuwa nikinunua malaya sasa nimeamua kutulia nitafute mwanamke mzuri na mwenye tabia nzuri niweze kuanza nae mahusiano.
Sasa kuna binti mzuri sana hapa chuo cha nimempenda sana.Nilimweleza hisia zangu akaniambia hana mtu lakini hayuko tiari kuwa na mimi kwa sasa.Cha ajabu nikimtext kutaka kumfahamu kwa undani ananijibu kwa ufupi na sometimes anaweza asijibu.
Kwasababu nampenda nmehamua kumjali as long as kanambia yuko single. Sasa cha ajabu ni kwamba nikimtext kuwa kuna kitu nampelekea kama chakula yaani anajibu fasta.
Tena nikiwa nampa ananikumbatia na kuniambia amefurahi sana. Sasa wadau nipeni ushauri. Maana simwelewi.Atanikubali siku moja niendelee kumjali au naingizwa mjini. Nimemwambia kama ana mtu aniambie nimpoteze kasema hana but haitotokea niwe nae.