Ujumbe kwa wanawake

Ujumbe kwa wanawake

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka.

Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu siku ya kwanza umeshinda unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni kumbe wao wanakutazama tu na kukupimia wala hawakwambii kitu.

Siku ya tatu wanakwambia leo ni zamu yako kupika, unaingia jikoni unaona kila kitu kigeni vya huku unaweka kule, vya kule unaweka huku (yaani hujui kupika chochote)

Sufuria unashika kama umeshika power bank, unapika na lipstick, mdomo mwekunduuu utafikiri mtoto wa jini katoka kufundishwa kunyonya damu tena huku umevaa saa, umevaa culture zimejaa nusu ya mkono, umevaa mini skirt kama wafanyakazi wa emirates.

Msosi wa wakwe huwezi kupika. Ukiambiwa hufai kuolewa unavuta mdomo utafikiri umenyimwa USB cable ubust smartphone yako.

Unaanza kulalamika wakwe hawakupendi, unalalamika weee, unashindwa kuelewa kuwa wewe ndo tatizo.

Usitake kuolewa ukidhani mumeo atakula chips na wewe utakuwa utakula pizza kila siku, jifunze hata kuchemsha chai basi au unadhani google wataleta Application ambayo unaweka USB kwenye simu yako alafu unaielekezea kwenye sahani inaproduce msosi.

#jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga selfie

Hahahahaaaa....
 
Kilichonishangaza ni hizo id za wachangiaji wa hiyo thread hapo juu mpaka sasa hivi,
Daaah! Hizo id zao kiboko aiseee!!

1-Moisemusajiografii
2-Born to be wild
3-Kirusi cha ukimwi
4-Kumbukumbu la torati
 
Mkuu umeshindwa kuongea na mkeo nyumbani mkayamaliza unayaleta jf mweeeeeee
 
Na wewe mwanaume unamchukua msichana mpk ukamtambulishe kwenu hujamjua tu kuwa yupo hivyo? Hamjui kuchagua wake...mmekalia kuangalia sura na makalio. Wife materials wapo...tatizo akili ya kichwa kidogo imezidi ya kichwa kikubwa. Thats y mnapata matakataka ya namna hiyo. Kafundishweni kujua mwanamke yupi anafaa na yupi hafai.
Unalazimishwa kuoa na wewe unaingia kichwakichwa. Tatizo si huyo bidada ila ni la kwako.
 
Kwa Ufupi wanawake huwa wengi wao wanapo ambiwa kuwa wamekosea huona ndio wameonewa na kusema wamenyanyaswa ,Mfano ndio huo uvivu kupitiliza.yani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom