Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

Status
Not open for further replies.

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,802
Wasalam!

Kama mnavyoona hali ya hewa imebadilika ni mvua kila kona tahadhari tu wandugu mkipita pale sinza mori mfunge vioo na milango vya magari yenu wale wadada wanaosimama pale ni wezi wanapora watu kwenye magari.

CHUKUA TAHADHARI
 
Wasalam wadaujapo ni mwezi mtukufu bado kina dada poa wa pale Sinza Mori opposite na Big Bon Petrol station wanapiga kazi ya maana. Lakini shida yao ni wezi kwa wateja wao nimekuja hapa JF kuwataahadharisha wale wenzangu mnaowachukua kujitahadhari maana wanapaka dawa Fulani kwenye chuchu sasa unapoenda nae Chemba anajidai ana hamu ya kunyonywa chuchu ile kumnyonya tu unalewa na kuishiwa usingizini na anakukomba vitu vyote. Mimi Jumamosi nimemchukua demu Fulani bonge hapo nikaenda nae pale UNIVERSAL GUEST HOUSE nimejishtukia asb nimebaki na bukta kuwauliza watu wa hotel wanadai hawamjui na aliondoka saa 1 asubuhi hiyo. CHUKUA TAHADHARI
Mkuu pole sana kwa maswahibu. Pale Mori Bar nyuma kuna Guest House na hapo ndipo makao yao makuu, vile vyumba vya uani utawakuta wakati wa mchana wamekaa vyumbani nusu uchi huku milango iko wazi.

Jichanganye kidogo tu wakufanyie kitu mbaya. Mimi huwa nahudhuria sana hasa wakati wa EPL matches, nikipanda ghorofani huwa nashuhudia kila kitu kwa chini, kweli wanaume wanalizwa kila siku pale.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom