Nakumbuka enzi nipo kijana mdogo nilikuwa napenda sana kuwa na wasichana wa jirani, shuleni, kanisani nk, ila wengi walikuwa wananitolea nje ila kwa sasa baada ya wao kuona mambo yangu yapo safi wanaanza kujitongozesha kwangu,wengine wanauliza mbona siku hizi upo kimya sana?
Mara mpaka nikupigie mimi tu we unipigii? Wengine wanasema tutafutane bwana, wengine wanataka hadi kunitembelea nilipo, na mimi kwa upande wangu kama huwa nina msimamo mkali dhidi ya watu wote walionikataa kipindi nina hali ngumu, huwa sitaki kuwaona kwenye ufalme wangu.
Na wengi wao wanatamani eti niwaoe sasa hivi, hivi huwa mnashikwa na nini kipindi tunawatongoza? Je hao mapedeshee walikuwa wanatafuna mzigo wakati unawaringia vijana wenzako huwa wanaishia wapi?
Nimejitafakari sijui nilipize kisasi kwa kuwaburuza halafu niwatupilie mbali? Au nyie huwa mnafanyaje kwenye hali kama hii?
Kuna mmoja ambaye nilikuwa najiachia kwake akaja kunimwaga baada ya kupata kajamaa kanampa pesa kwa sasa hivi eti anadai pensheni kwa kunifadhili papuchi ya bure enzi nikiwa kapuku na bwana wake mwenye pesa alikuwa amejiegesha tu kashamwaga sasa anataka kurudisha majeshi, hivi hii pesa ina sumaku?