kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,695
- 2,143
Kuna dhana kwamba hawa wanawake wana nyota zao, kwamba unaweza ukawa na msichana flani alafu ukakuta mipango inaenda vibaya sana na unaweza ukawa na msichana mwengine mambo yakanyooka hadi raha. Je jambo hili ni kweli wanabodi? Na kama kweli lina tiba?
Naomba kujuzwa.
Naomba kujuzwa.