ukitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue
maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type hizo
JE mwanamke mwenye heshima zake anapenda ofa zipi?

sasa atakubali vipi ofa kama hujaitoa? kujihadhari nao ni kutokutoa hizo ofa na uwe mbahiliiii.. (ila hapa unaweza ukamaliza mwaka hujapata demu).
duuh ina maana ile kutoa hela ya pombe na vocha ndio sio ubahili? Je usipotoa ofa hizi ni vipi?
sasa atakubali vipi ofa kama hujaitoa? kujihadhari nao ni kutokutoa hizo ofa na uwe mbahiliiii.. (ila hapa unaweza ukamaliza mwaka hujapata demu).
1. Watafute wa type yakoUkitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue,maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type hizo.
JE mwanamke mwenye heshima zake anapenda ofa zipi?
1. Watafute wa type yako
2. Wanawake wenye hekima hutawapata kwa sababu sio wepesi wa kupokea ofa kutoka kwa he-goats. Wanahitaji serious relationship with a serious person without any strings attachment.
Ukitaka kujihadhari na aina za mademu hawa je ni tahadhari ipi nichukue,maana wengi mnadai ni wepesi kukubali ofa mitoko ya pombe na pub za uswahilini ,wakati kwa upande wangu sipendi type hizo.