Ukweli kuhusu wanawake

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
Habari wanajamiiForums, natumaini mu wazima wa afya.

Hii kitu nimeikuta sehemu sasa nikaona niilete hapa tulijadili.

Ukweli kuhusu asilimia kubwa ya wanawake;
1. Wanaamini katika kutunza akiba, lakini wanapenda kununua nguo za gharama.

2. Wananunua nguo za gharama, lakini bado hawana nguo ya kuvaa,anaweza tumia saa nzima kutafuta nguo ya kuvaa.

3.Siku zote wanavaa na kupendeza lakini hawajiamini kama wamependeza.

4. Hawajiamini kama wamependeza lakini hutegemea watu kuwaeleza kuwa wamependeza (expect people especially men to compliment them)

5. Wanaatarajia wanaume wawaambie wamependeza lakini hawaamini wakiambiwa wamependeza.

6. Wanawake hutaka kulia na hawawezi kulia peke yao mpaka wahakikishe umesikia kulia kwao ndio ataridhika. Kwa wastani mwanamke analia mara 30-64 kwa mwaka, wakati mwanaume analia mara 6-17 kwa mwaka.

7. Wanawake wanapenda shopping! Ni eneo pekee ambalo wao huhisi wameliteka katika hii dunia.

8. Kwa wastani mwanamke ana pea 19 za viatu, lakini huvaa pea 7 tu.

9. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kwa wastani mwanamke hutumia masaa 120 kujiangalia kwenye kioo kwa mwaka, ambapo ni takribani siku tano katika mwaka.

10. Mwanamke anaweza akamuamini mtu yeyote atakayemkumbatia atleast kwa sekunde 15.

11. Na kwa wastani mwanamke hula kilo 2 mpaka 3 za lipstick katika maisha yake yote.
 
women are human beings and human beings are dynamic and unpredictable.
 
Back
Top Bottom