papiso
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 391
- 230
Habari wandugu
Nimeona in vyema tuambiane kuhusu tabia za hawa wenzetu ,Siku hizi wadada wengi hasa wale wa rika la kuanzia miaka 25 kwenda juu asilimia 90 hawana mapenzi ya kweli hata uwapende vipi utaishia kupoteza muda wako bure hasa ukikutana na aliyezalishwa ndio kabisaa Majanga wengi wapo kimaslahi zaidi.
Dalili za kujua na kuzingatia
Ukiona demu wako hana haja wala nia ya kujua kwako wala kuja kwao ila anapendelea wewe ndio upeleke dushe lako kwake ujue huyo hafai hata kidogo yeye vikao ni baa na club tu
Ukipata demu ambaye kwake vibomu kila saa kuanzia nguo pedi luku salon viatu mpaka chakula wakati yeye pia anafanya kazi stuka mapema kula kona
Ukipata demu ambae ukizungumzia habari ya ndoa anakwambia hataki kuolewa au hana mpango huo hapo jua tayari yote uliyomfanyia umeshakula hasara na tayari ushapoteza muda kitambo in muda wa kuachana naye
Ukiona demu wako yupo busy na simu yake na mbaya zaidi hiyo simu umemnunulia wewe na vocha unamuakea huyo ni wa kumuogopa kama ukoma isitoshe ameweka password ya maana na ukiomba password ni ugomvi achana Nate
Ukipata demu ambaye yeye akifika kileleni na mechi ndio imeishia hapo huyo pia hafai
Ukipata demu ambaye hataki kujua familia yako wale yake huyo ni CCM ,chukua chako mapema
Ukipata demu ambaye anataka vitu vyako kama simu friji au chochote ambacho cha gharama jua ndio mabomu ya mwisho mwisho hayo baada ya hapo ni kumwagwa maxima
Ukiona demu anakulilia wivu was kijinga jinga huyo anakutafutia sababu ya kukumwaga
Ukiona demu anajiamini sana jua kabisa kuna wenzako wenye uwezo zaidi yako wanakugongea kimbia
Ukiona demu anakubebesha majukumu ya mtoto wake wakati baba yake yupo na anauwezo mzuri tu wa kumlea mwanae amekugeuza taasissi afai
Ntarudi nipo kazini