Cases za mashoga zimekuwa nyingi sikuizi

lavian

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
722
329
Habari zenu wadau,

Mi swali langu ni kuwa kwanini hawa watu wamekuwa wengi sikuhizi kisa nini na pia adi nchi za ulaya wanalazimisha nchi zetu ziuhalalishe.

Swali, ni nini kinacho sababisha adi haya mambo yatokee?

Ukizingatia na Biblia iliongelea hili swala.
 
Jaribu kutafakari. ! Je ni kwamba mashoga wameongezeka au taarifa kuhusu mashoga zinapatikana kirahisi??

Duc in Altum
 
Mkuu ata mitahani naskia wapo kibao2 maake m2 anasema adi ofisini kwao wapo
 
Ukweli Ni kwamba watu hawa wameongezeka Sana huwezi kumjua kirahc nimewahi kuoneshwa watu ambao nawaeshimu Sana huwez kuwategemea..
 
Binadamu kajiruhusu kuishi kwa akili yake na utashi sio kanuni za Mwenyezimungu .
 
Maneno kama Basha, shoga, wasagaji yameanza lini? Leo jana au wewe umeanziasha? Huko hivo vitabu unavyoongelea ndo ulipoanzia. Kumbuka wanafalsafa wamwanzo urumi ndo walikuwa mashoga na wanafunzi wao walilijua hilo (google). Ushoga na umalaya na wizi ni kazi ambazo zilikuwepo toka evolution ndo maana kuna wanyama wanaozalishana na jinsia moja.
Biblia ilitungwa na binadamu kama wewe na kila mtu aliandika alichoona ni sawa kwa wakati wake. Ndo maana kwenye agano jipya Maria Magdalena anaonekana kuwa kahaba lakini kwenye vitabu vilivyogunduliwa 1947 Egypt inaonekana yule alikuwa karibu na Yesu na alichukiwa na Mtume Paul. Google the gosple of Mary Magdalen na utaelewa biblia iliandika kufurahisha waliokuwa wanaisoma kwa wakati ule. Sisi ni mapokeo sawa na mzee wa kimasai angeandika kuhusu mila na mungu wa mlima ule wa moto watu wengine wangekubali kulingana na yeye alivyoamini. Dini ni imani siyo reality. Watu hawa wameumbwa na genes zao zina matatizo wanaweza kupata dawa kuzilekebisha lakini siyo laana wala hawajifanyi hawana tofauti na zeruzeru.
 
Binadamu alipewa akili na matamanio,mnyama alinyimwa akili akapewa matamanio ILA binadamu atakayeweza dhibiti matamanio yake huwa zaidi ya malaika na atakayeshindwa kudhibiti matamanio yake huwa zaidi ya mnyama! That will never be an excuse,being a GAY its a CURSE!
 
Maneno kama Basha, shoga, wasagaji yameanza lini? Leo jana au wewe umeanziasha? Huko hivo vitabu unavyoongelea ndo ulipoanzia. Kumbuka wanafalsafa wamwanzo urumi ndo walikuwa mashoga na wanafunzi wao walilijua hilo (google). Ushoga na umalaya na wizi ni kazi ambazo zilikuwepo toka evolution ndo maana kuna wanyama wanaozalishana na jinsia moja.
Biblia ilitungwa na binadamu kama wewe na kila mtu aliandika alichoona ni sawa kwa wakati wake. Ndo maana kwenye agano jipya Maria Magdalena anaonekana kuwa kahaba lakini kwenye vitabu vilivyogunduliwa 1947 Egypt inaonekana yule alikuwa karibu na Yesu na alichukiwa na Mtume Paul. Google the gosple of Mary Magdalen na utaelewa biblia iliandika kufurahisha waliokuwa wanaisoma kwa wakati ule. Sisi ni mapokeo sawa na mzee wa kimasai angeandika kuhusu mila na mungu wa mlima ule wa moto watu wengine wangekubali kulingana na yeye alivyoamini. Dini ni imani siyo reality. Watu hawa wameumbwa na genes zao zina matatizo wanaweza kupata dawa kuzilekebisha lakini siyo laana wala hawajifanyi hawana tofauti na zeruzeru.
Mkuu nimesoma vzr nimekuelewa lkn sikubaliani na wewe
1,biblia haijaandikwa na akili ya kibinadam,imeandikwa kwa maagizo ya mungu
Vitabu vile vya stori za watakatifu zimeandikwa sawa lakini ni kweli ilibidi waandike storia zao ili kukupa uhalisia ili ukitafuta kwa njia ya kiistoria ukubali
Angalia vitabu kama danieli revelation ata vile vya musa vya mwanzo zile ni maagizo ya Mungu
Au unavyosema kuna wanyama mashoga? Em toa mfano
 
Mashoga wapo siku nyingi lakini kinachojitokeza sasa ni kudai haki ya kuoana na kuthaminiwa. Yaani eti tuwathamini Mashoga... §h**nzi zao
 
Mleta uzi analijua hilo ila shaka yake kuwa ongezeko limekuwa kubwa kama mporomoko wa shilingi ya tanzania.Nawe umeongeza pia sasa wanataka kutambuliwa na wapewe heshma hilo kwa familia nyingi za wenye kumuogopa mungu na pia wapo ambao hawamuamini mungu ila tendo hilo hawakubaliani nalo itakuwa ngumu hawa walio JIBATIZA kama sio kujialika uanamke watu kuwaelewa na kukubaliana nao.
 
Mkuu nimesoma vzr nimekuelewa lkn sikubaliani na wewe
1,biblia haijaandikwa na akili ya kibinadam,imeandikwa kwa maagizo ya mungu
Vitabu vile vya stori za watakatifu zimeandikwa sawa lakini ni kweli ilibidi waandike storia zao ili kukupa uhalisia ili ukitafuta kwa njia ya kiistoria ukubali
Angalia vitabu kama danieli revelation ata vile vya musa vya mwanzo zile ni maagizo ya Mungu
Au unavyosema kuna wanyama mashoga? Em toa mfano
Hivi kama kuna mkono wa Mungu, kwa nini sasa miaka elfu mbili na ushee hatujaona Mungu anatuma kitabu kingine kiandikwe? Kuhusu wanyama mashoga, binadamu akiwa mmoja wapo tunaambiwa kuwa kama hormones za upande mmoja zikizidi huyo mtu anakuwa opposite ingawa kwa macho ataonekana kivingine. Tuwe scientific kukubali kila kitu ndo maana nikikuuliza binadamu na dinosaurs kipi kilitangulia sababu hawa viumbe wamefutika millions of years before humans ina maana hao walikuwa na Mungu wao?
 
Tatizo hao mashoga kuna watu wanawala wasingekuwa mashoga kama kusingekuwepo walaji, tuanze na hao.

Kama wewe ni mlaji jua na wewe ni shoga. Tafsiri ya neno 'gay' halibagui aliwaye tu bali ni hata mlaji ni homosexual
 
Hivi kama kuna mkono wa Mungu, kwa nini sasa miaka elfu mbili na ushee hatujaona Mungu anatuma kitabu kingine kiandikwe? Kuhusu wanyama mashoga, binadamu akiwa mmoja wapo tunaambiwa kuwa kama hormones za upande mmoja zikizidi huyo mtu anakuwa opposite ingawa kwa macho ataonekana kivingine. Tuwe scientific kukubali kila kitu ndo maana nikikuuliza binadamu na dinosaurs kipi kilitangulia sababu hawa viumbe wamefutika millions of years before humans ina maana hao walikuwa na Mungu wao?
Hamna mkuu ndo maana agano likafungwa.alie kuja kufunga agano ni Yesu.na revelation ukiisoma inaelezea future xo hakukua na shida ya vitabu vingine baadae
Af binadam ni walewale sema kinachobadilika ni life cycle..yaaan tabia inapotea af inatokeza tena mbeleni ndo dunia ilivyo
 
Back
Top Bottom