She wants to be alone

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,776
2,038
Habar zenyuu MMU,i have been in relationship with certain cute girl almost miaka miwili sasa.Tmeishi vizuri tu bila tatizo although kutofautiana kupo in some days.To be honest,tulikuwa tunapendana sana sana sana.Dah! i cant explain any more,anachotaka sahiv simply "TO BE ALONE" I tried hard to find the reason lakini sjapata.Nmeshamkubaliaila sjajua logic ya hii kitu,kama ulishawah kukutokea hii hali tushare mawazo hapa,ukipenda kukejel,kutukana ni sawa cz ni haki yako ya msingi kikatiba ya JMT​
 
Kwanza pole,ila huyo dada amepata mtu alie mgeuza mawazo ambae amesababisha azione kasoro zako nying.
~ushaur
~mwache km anavo hitaji Mungu atakupa mwingine.ujue hana msimamo km kweli mna pendana sana why alone?
~amesha sahau utu wako huyo atakuumiza.
 
Give her space kama alivyotaka utajiuliza mengi na kuumiza kichwa chako lakini jibu analog yeye.Jibu lako kulipata ni suala muda yote yatajulikana.Ila acha mambo ya kitoto kuchanganya rangi umeudhi wengi ndio hawakupi ushauri wa maana.
 
Relax MEXICANA......
Hapo kuna vitu viwili.
1. Inawezekana kuna weakness amegundua kwako sasa anahitaji muda wa kufikiri na kufanya maamuzi.
2. Inawezekana kuna kidume amekipata ambacho ni bora kuliko wewe.

ANDAA KICHWA KWA MAMBO 2.
1. Kuambiwa kuwa safari yenu ya mapenzi hapo ndo mwisho.
2. Kurudiana.
 
Back
Top Bottom