Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,524
6,013
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 22 natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo.

1:Jina lake liwe linaanzia na herufi A,hapa kuna akina Asha,Angel,Amina,Anna,Asma,Aneth na wengineo(hii ni sifa ya lazima)

2:Awe mweusi (napenda sana mwanamke mweusi mimi)

3:Awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 20

4:Awe na makalio yanayoweza kumtofautisha baba na mama


Atakayekua tayari afanye kuniPM
 
Me ni kijana wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 22...
natafuta MUPENZI mwenye sifa zifuatazo...
1:Jina lake liwe linaanzia na herufi A,hapa kuna akina Angel,Anna,Aneth na wengineo(hii ni sifa ya lazima)
2:Awe mweusi (napenda sana mwanamke mweusi mimi)
3:Awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 20
4:Awe na makalio yanayoweza kumtofautisha BABA na MAMA
5:Asiwe mwanafunzi wa Sekondari au Shule ya Msingi (maana naogopa kufungwa na kufelisha watoto wa watu)

kama hauna sifa nilizozitaja hapo juu POVU lisikutoke tafadhali,maana humu JF kuna watu wamekaa kiSHARISHARI tu..!
Masharti ya mganga?
 
hamna bradha...
kawaida tu..
sema hiyo sifa namba 1 ya jina kuanzia na herufi A ndo nahisi itawachanganya watu kidogo...
ila hizo sifa nyingine ni za kawaida tu mkuu..!
Poa nitakufanyia ukuwadi mahali kuna kamdogo ketu kana hizo sifa hapa jamvini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom