newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Wakuu salaam,
Samahani kwa nitakaowakwaza ila ni kwamba ninaelezea yanayonisibu na nahitaji ushauri wenu.
Nina mpenzi wangu niko nae kwa miaka miwili mpaka sasa ila tumepitia changamoto nyingi sana,tumeshaachana na kurudiana,tumeshataka kuachana ila saa nyingine najitahidi kushikilia tena,sasa hivi tumeachana tena ila simuelewielewi mwenzangu wa kike yeye ndo kanikosea ila haeleweki kama anajutia kosa lake au lah! Tuna kama siku mbili sasa tangia hayo yatokee.
Tatizo tunawasiliana akinipigia nashindwa kumkomalia kukataa, leo kapata tatizo la kuugua ghafla saa kumi na moja kaniita nikampeleka hospitali kapata tiba na sasa hivi yuko sawa.Saa nyingine tunaonekana bado tunahitajiana saa nyingine kama tumechokana au saa nyingine kama vile huyu msichana ana jeuri,kujiskia, yani mambo mengi nikiwa na shida kwake naweza kwenda nikakaa nimeangalia kwenye simu yake bado kanisave vilevile na picha zetu bado zipo ila kipindi tumezinguana alizifuta zake kwangu.
Yani mambo ni mengi yanayonichanganya,nashindwa kuelewa ananipenda au? Ana miaka 22 mimi nina 24. Mimi ninajua mwanamke bora ni mwenye akili,kiukweli ana akili za kimaisha yaani kutafuta pesa kwa utamaduni wa wao walivyo naona kwa swala la ideas za kibiashara yuko vizuri ila upande wa mapenzi naona simuelewi elewi natumia muda mwingi kumfundisha kama mtoto ila anabadilika na baadae anarudia yaleyale japo kwa miezi kama kumi ya kwanza alikuwa poa sana.
Mimi nampenda kulingana na ninavomchukulia mwanamke kuwa ni akili ila sasa naomba mnishauri je niachane nae au nimvumilie yani niendelee kumfundisha hivyohivyo au? Au hizi ndo changamoto katika mapenzi ya uchumba na ndoa kiujumla?
Naomba mnisaidie katika hili maana sitaki kuwa playboy nishakuwa mtu mzima sasa,je nikisema hata nimpe ujauzito tu basi nipate mtoto nitakuwa nakosea? Je hii itanilazimisha kumuoa kwa hali yoyote ile? Nimeishi nae ndani kama mke na mme sasa kumuacha na kumsahau inaniwia ngumu kidogo japo najua ni rahisi kumpata mwingine.
Natanguliza shukurani wakuu