Mangi ushagongewa nini?pole sana najua sihajibu swali ila duuuh inauma..Kwa wajuzi wa mambo....hv unawezaje kumgundua mpenzi aliyetoka kuchepuka (kugegedwa au kugegeda) mchepuko!! Najua wengi tutajifunza hapa...na lengo hasa ni kupeana uzoefu na kupeana mbinu mbadala za kukabiliana na wachepukaji...
Zama chumvini tu ukikuta radha tofauti na uliyoizoea jua ushachapiwaKwa wajuzi wa mambo....hv unawezaje kumgundua mpenzi aliyetoka kuchepuka!!!
Najua wengi tutajifunza hapa...na lengo hasa ni kupeana uzoefu na kupeana mbinu mbadala za kukabiliana na wachepukaji coz michepuko ni janga kuu ...
Funguka basi...kulingana na hayo masaaInategemeana ni mda gani ambao wewe unataka kufanya huo uchunguzi coz kila mda una dalili zake kama nusu saaa baada, saa moja baada masaa mawili ,ila zaid ya masaa 12 huwezi kugundua coz anakuwa emesha rudi normal ila kuanzia nusu saa hadi masaa 6 ni rahisi zaidi,