Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,351
Habarini,
Hivi mwanamke anapokutosa kila apatapo kazi na kurudiana na wewe kila anapopigwa chini maana yake ni nini?
Kwa ufupi mimi nilianza mahusiano ya karibu na dada mmoja tangu tupo chuoni, ingawa mapenzi yalianza kwa magumashi lakini maisha yalienda yalianza kwa magumashi coz msichana huyu alikua ngumu sana kunipa gemu kwani nakumbuka nilishaenda naye lodge mara kadhaa na kuambulia patupu.
Mahusiano ya chuo yaliendelea but niliambulia vichache kama vile kisi na denda.Msingi wa tatizo lililofanya niandike uzi huu ni kwamba mara baada ya kumaliza chuo alibahatika kupata kazi benki fulani hapo ndipo nilipoanza kuyaona rasmi makucha yake kwani mawasiliano yalikufa huku nayaona.
Sikupata tena nafasi ya kukisi ata hug kwa kisingizio kwamba mtu yupo busy na kazi so tukaachana.Nashukuru Mungu namimi nilipata kazi kwenye kampuni moja na kwa upande fulani nikanza msahau taratibu.
Baada ya kama miezi kadhaa mkataba wa kazi wa yule msichana ukasitishwa.Taratibu msg za good night na kazi njema zikaanza kujiri kwenye simu yangu,hali hiyo iliendelea mpaka nikajikuta nimerudiana naye.
Mapenzi yakaendeleea kwa muda mfupi mpaka msichana alipopata tena kazi kwenye shirika moja hivi vituko vikaanza tena nakupelekea kuachana naye kwa mara ingine na mimi Mungu si athumani akasaidia nikapata kazi nyingine kwenye shirika fulani sasa hivi huyu msichana ameanza kunitafuta tena coz kunamatatzo kazini katika kampuni yao na kunawasiwasi watapunguza wafanyakazi.
Sasa nimekaa nikafikiria inakuaje huyu msichana mimi ninamfaa vipindi fulani fulani tu.Kwakuwa tatizo lake lipo ndani ya uwezo wangu.
Naombeni ushauri nimsaidie au nimwache ili awe na adabu.