Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Nimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax.

Mimi nilikua na msichana alipoingia tu Mzumbe alinimwaga kwa dharau, Mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni, msichana alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.

Tukaingia faragha tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenzi ya kisharo wakati mimi nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tu, yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana.
 
nimefuatilia sana dem Akishaingi chuo tuu wanajiona matawi sana yaani wananata sana ukitaka tuu mtongoza ni shida appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax..

Mimi nilikua na dem alipoingia tuu mzumbe alinimwaga kwa dharau mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni dem alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.

Tukaingia dwasii tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenz ya kisharo wakati mm nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tuu yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana
Sio wote, wengine wanajielewa. Na hao wenye tabia izo ni ulimbukeni tu wa maisha
 
Nimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax.

Mimi nilikua na msichana alipoingia tu Mzumbe alinimwaga kwa dharau, Mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni, msichana alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.

Tukaingia faragha tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenzi ya kisharo wakati mimi nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tu, yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana.
Binadam wengine uwaga mi nashindwa kuwaelewa! Wa hivo wapo wengi tu, ila nahisi kwenu sababu wanaume wana hela za kuchezea ndo maana hao nao wanajiproud.Wa hivo, unahangaika na wa nini? Huyo hafai kuwa mke wala hawala! Unataka tu misifa kuwa una demu mkali! Huyo si bora changu anayejiuza! Unapata unachotaka hata number ya simu hutoi na unaendelea na shughuli zako! Huyo utalipa tax, kula kunywa bill yake, usafiri kurudi juu yako, unaondoka laki imekutoka na unachofukuzia ni papuchi tuuuu! Huu si ni wehu! Bora huyo muache ale jeuri yake. Umenikumbusha kweli. Kwetu walikuwepo wa hivo siku za nyuma, sasa karibia wote chuo wamesoma, ujuzi zero, sasa wao ndo wanawahonga wanaume hata kwa kugegedwa tu! We ngoja itokee muingie East African Community kila mtu aanze kuona hali inakuwa ngumu, akipata 200 zake anasepa utawaona hao hao wanakutafuta wenyewe.
 
Wanapo maliza Maisha ya kuigiza chuo na kuja mtaani na kukaa miaka mitatu bila Kazi heshima ina anza kuludi kwani Ana jikuta Maisha yake ya Kila cku yana mtegemea Mangi aliye ishia darasa la saba Muuza duka!
haaaaaaaa mzee umegusa kiukweli yule dem amekaa miaka minne hana kaz juz ananipiga mziga anataka kupanga nimchangie yaan anakujaga namla afu nishamdharau sana maana daa kipindi anaingia mzumbe alinidharau sana
. aisee maisha bhana laaaaaa
 
Ni kutojitambua tu...uzumbukuku na ulimbukeni ambao huwakumba wasichana wengi wa chuo...though kuna wanaume pia ambao nao wanazo hizo tabia ingawa ni kwa asilimia chache. Hao ndo wale ambao walikuwa na malengo wasome wafike chuo, so wakifika hapo wanajiona wameshapata kila kitu.
 
mzee sometime inabidi tuu uzibue tundu la huzuni Dem akudharau kisa anaingia chuo afu anakuja kukutafuta kipindi kamaliza afu anataka vitu vya garama daa siachi aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom