Monika2
Member
- Jan 13, 2016
- 81
- 89
Mwaka uliopita tulikubaliana na baba watoto tukatambulishane kwa wazazi pande zote mbili, ili tukamilishe taratibu za kufunga ndoa,
ila ghafla mwenzangu amebadili gia angani anasema inabidi kesho mtoto aondoke aende mwenyewe na dada kwa bibi yake, (mama wa mwanaume)
binafsi nimelipinga hilo swala kwa kuwa naamini siyo utaratibu kumpeleka mtoto kwa bibi au babu bila mzazi wake,
na pili nimemwambia nahitaji nijue mustakabali wa mahusiano yetu.
ushauri wenu tafadhali, je nimuache mtoto aende mimi nijiongeze(naona hamna dalili ya ndoa)
au nimkatalie mpaka nijue msimamo wake?