manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
hichi kitu kinaniumiza kichwa kweli. maana naona asilimia kubwa ya jamii za kiafrica sijui ulaya na Asia.. ukiwa na Dem unakuwa ww ni wa kumhudumia kila kitu mfano umemtoa out mkiagiza mhudum akija akihudumia bill ikija atakuletea mwanaume alafu dem anakauka ata kama ana ela hawezi lipa alafu hapa pananiuzi sana mkiingia kupeana malove mkimaliza lazima umtoe dem ela ata kama ni dem wako daa usipotoa anaweza enda kukuponda kwa mashoste wake wakati utam mmesikia wote afu madem si ndiyo mnaaikiaga utam zaidi? kwa nini tukimaliza kudo na nyie msitutoe maela?