Sintatafuta tena Girlfriend humu Mtandaoni_Nimejifunza!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
753
Reaction score
659
Dada zangu,kaka zangu na wadau wote wa Jf,naombeni mnisamehe,nimekuwa kihelehele kutafuta wachumba mitandaoni hasa kwa humu sasa nimejifunza.

Naahdi kurudi shule tena,na kamwe sitapost thread yoyote kwenye jukwaa hli,Ooh my God! Mnisamehe jamani pengne sikujua nilitendalo.

Sasa bora nihamie jukwaa la Elimu.I'm ver sor guyz,i go beyond ur feet Hons,pardon me! I've no place to hide my face! Sijui ni nini kilinileta huku!
 
Dogo umefanya nini au umetokewa muujiza? Na ulituambia kama unampango wa kutongoza humu?
 
Funguka zaidi mdogo wangu. Kulikoni????

Sent from my EyePhone
 
Tukusamehe nini kwani umechuku mke wa mtu ?

Unless umemkosea mtu humu ndani chochote unachofanya wewe na huyo mwenzako huko nje sidhani kama ni mzigo wa mtu yoyote humu ndani, na dada mmoja akioza humu ndani sio kwamba wote wamepinda
 
ver sor kaka,ni kwl huu siyo mzigo wa mwingne tofauti na mimi,i even stammer to say anything! Ok,let me face thse hardships now! They say"when you make your bed you must lie on it"! It's my fault wakuu!
 
ebu funguka dogo...umetokewa na nini?
 
Hihi hihi hiiiiiiii..

Jf bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nahisi ni wewe uliemfanya akome na kujuta kuzaliwa
ulipo demand tano kila siku
mwenzio uwezo wake kimoja kwa wiki...
sasa anatuomba woote samahani lol

Hahahaa... Si mimi jamani..! Mi nimeopoa mwanaume wa haja humu, ananikung'uta tano kwa siku halafu wala halalamiki kama wewe..! Yaani ni full shangwe kudadadeeki..!
 
Back
Top Bottom