lavian
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 722
- 329
Siku zote napata mschana nampendaaaa nae ananipendaa sana,nakuwa siwez kukaa bila kumfikiria nae hawez kuish bila kuniwaza kias kuweza kuongea masaa na masaa kila siku na kila mda,ila ikifika mwez wa pili sjui waga inakuaje.kila ikifika mwez huo lazma mambo yatokee baina ye2 yaan either nianzishe au aanzishe au ki2 kitokee2 naturally,hivyo mwez wa tatu na wanne waga naumia sana moyo kiasi cha kufikiria kuutoa na kuufukia mahali,waga naumia sana lkn ckuiz maumiv yanapungua kias chake maana nishazoea kwa huu mda nn kinatokea na ikifika mwez wa tano nabadrika na kuwa na mschana ntakae mpenda sanaa na kumsahau aliepita na mara nyingi ni yule ambae cjawai kumuona maishan kabla
Mapenz yanaanza upya na pia na ile cycle hujirudia tena,yaan ikifika mwez wa pili haya mambo tena hujirudia na mschana niliachana nae tunapoteana kabisa yaan naweza nisimuone au tukionana hatuongei
Hii imenifanya mpaka nikiwa na mpnz wang namwambia ikifika mwez wa pili tutaachana au namwambia soon tutaachana anabisha na kukasirika kuwa sina mpango nae lkn ukwel ni kuwa najua kabisa hii itatokea
Nishajarb kuwatundika mimba ili tushikamane lkn naona kama inaweza kuharibu maisha ya baadae maake bado mnaweza mkaachana
Nishabadili tabia yaan kuwa mkali mara kuwa mpole mara nakuwa mhongaji saana lkn wapii
Wakuu naombeni ushauri
Labda nitoe mifano mizr ya waschana wawili wa mwisho
Yule kabla ya huyu tulipendana saana tukawa tunakaa sehem moja kila sehem tuko pamoja yaan kama masisimizi vile kila sehem ilikuwa chuo apo.siku zikaenda zikaenda mara nikawa kufanya nae sina ham kabisa lkn mschana akawa bado kaniganda2 siku zikakakaamaa bado yupo nikaanza kupata marks ndogo huku mtihani ni mrahisi kabisa uku ye anapata marks nzrr kabisa kaniganda2.siku zikakata nature ikaona haitoshi nikaanza sasa kukonda yaan ata sielewi kisa nn nikawa nakonda2 mpaka ananiuliza nn tatizo nikawa najilazmisha kula lkn wapii.na mixer kufanya sina ham
Siku zikakata aya mwez wa pili huooo ukafika yaan ghafla tukaachana tena ye ndo alinambia
Baada ya kuachana afya ikarudi na kwa michepuko wa nje nikawanapiga saana yaan ata bao nne.nikaongezeka mpaka nikajipenda.mwez wa tano nikakutana na mtoto neema ambae nilimpenda sana nikakaa nae na kumpenda sana nae alinipenda sana et mpaka anajishangaa nikamfungua bikra mambo yakaenda miez ikakata bila ki2 chochote kibaya ila alikuwa akifanya ki2 chochote kibaya namtishia kuachana nae analalamika na kujirekebisha sasa mwez wa kwanza ukafika siku kaniboa saana yaan nikamwambia tuachane akaenda kwa wa2 wanaoaminika kwa uhuni niliumia sana nikamshauri kwa nguvu zote arudi akarudi vzr baada ya wiki tukakaa vzr lkn ndo mwez wa pili ukawa umeingia nikawa kila cku nakumbuka kitendo alichokifanya na kuumia sana na nikawa namwogopa flan hv.kwenda kupima hataki na nikikuwa nae nasikia maumivu moyon kila kukicha.kadri siku ziendavyo naumia2 moyo mpaka nikaamua tuachane maake nilikuwa naona naumia2
Baada ya kuachana akaibiwa vi2 zikiwemo na simu.akajua mi nimetuma wa2 wamuibie maake whatsup yake ilikuwa onn na ilikuwa kwenye cm yng nyingine.
Sa tangu apo kanikasrikia na mi moyon najua kurudiana nae haiwezkan