Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
A mistake is an accident. Cheating and lying are not mistakes, they are intentional choices. Stop hiding behind the word mistake when you get caught.
Kukosea ni ajali. Kudanganya kimapenzi au kusaliti sio kosa. Ila ni maamuzi ya ndani ulioamua kufanya. Kwaiyo acha kujificha nyuma ya neno kosa ukikamatwa.
Imekua desturi mtu akifanya ujinga, akisaliti akikamatwa kusema bahati mbaya, nimekosa au nimepitiwa na shetani. Acha kudanganya kuwa muwazi. Sema lililokuvutia mpaka ukasaliti. Kuwa mwanamke au mwanaume wa kweli kwa kusema nilipenda hichi ikawa hivi sitarudia tena. Ila sio kileta visingizio.