hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,054
- 1,796
Hi guys, Nina kitu kinanikera kwa mshikaji wangu, nahitaji ushauri wenu mana najua ninayekereka si mimi tu
I have a best friend, yuko helpfully when it comes to problems,muwazi kwangu na kiukweli ana utu
Lakini huyu jamaa ana mambo haya siyapendi.. Kwanza anaongea sana kunizidi mimi, kwa hiyo hata ninapopiga deal na yeye yupo huwa anaongea as if ni deal lake, baadhi kanisave ila mengi kani cost .
Anaweza toka mbali akiwa haongei na simu lakini akifika kwangu ndo ana anza kupiga simu, alafu anaongea Dk 20 kuendelea, pia simu zenyewe hazinihusu, unakuta ni anamsalimia mjomba Mara anaulizia mpira ili mladi anakuwepo kimwili ila kiakili yuko mbaali
Anajua Siri ni za chumbani tu nyingine siyo siri isipokuwa kama ume mwambia hili Jambo ni Siri.mfano mambo ya pesa,, mnaweza kuwa ndani ya daladala afu kwa sauti anakuuliza zile mil kadhaa zimebaki sh ngapi? Nk naona aibuuu
Niko huru tukiwa wawili tunapiga soga au na mtu aliyemzoea,. Akija mgeni mnakuwa na hofu mana jamaa
Si mzuri katika utumiaji wa misamiati .
Anaongea kama askari wa zamu ktk gwaride,, sauti kuubwa kuficha Siri kazi,
NB vyote hivo nilishamkataza habadiliki, la mwisho hilo kajitetea babu na baba ake walikuwa na kelele
Jeshini waka pewa cheo cha kuimbisha kwenye mchakamchaka