Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Pamoja na mapungufu ya kawaida ya kibinaadamu bado wanapa heshima kubwa sana dada/mama zetu. Mwanamke atahakikisha mume,watoto na wanafamilia wanaishi vizuri kwa kuwapa kile kinachostahili. Mwanaume akiwa hahudumii familia mke atapambana kuhakikisha mambo yanakaa sawa. Mwanamke husamehe mambo ambayo mwanaume hawezi kusamehe. Mwanamke atakufanya uwe na amani na kukupa moyo kwa magumu unayopitia mwanaume. Jamani tuwape heshima wanawake na tusiwatese mioyo yao kwa kuwa Mungu hakukosea kutupa hawa viumbe kuwa wasaidizi wetu. Respect to all womens and God bless u all.