Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,792
Jamani nimeletwa na serikali ya Tanzania kuja kusomea magonjwa ya macho hapa, Tulipelekwa field sasa nimekutana na Professor Mghana, ni kijana, mzuri, nikimuona ninachanganyikiwa.
Kibaya zaidi ni mmoja wa walimu wangu, ameshahisi kinachoendelea kwasababu akiingia chumbani hata kama ninamhudumia mgonjwa ninachofanya kinakuwa distracted.
Kuna mwalimu wa kike mzungu mama mtu mzima amegundua hilo, kwahiyo tukiwa canteen tunakula ananitupia jicho saa zote au labda ninahisi kwani hakuna aliyeniambia chochote.
Ninaomba tu nimalize masomo nirudi nyumbani salama.