Natafuta mwenza

Dec 26, 2013
20
0
Hello,

Najitokeza hapa kutafuta mwenza/ mchumba wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.

Napenda mwenza huyo awe dini yeyote mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye melango ya maisha.

Asizidi miaka 38.Asiwe mfupi.Mimi nina umri wa miaka 27, nimejiajiri, napatikana Dsm.Mambo mengine tutafahamishana.

Kama upo interested ni pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom