Ili Mwanaume amridhishe Mwanamke kimapenzi amfanyie nini?

Ili Mwanaume amridhishe Mwanamke kimapenzi amfanyie nini?

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,628
Reaction score
2,291
Naomba nielimishwe ni kwa vipi Mwanaume anamridhisha Mwanamke kimapenzi.Nitafurahi sana kwa kupata elimu pana kuhusu hili.
 
Swali limeulizwa kama wanawake wote wako sawa.

Mwanamke huyu yukoje?

Mweusi au mweupe? (Race)

Mdogo au mtu mzima? (Maturity)

Anapenda kukaa ndani au kutoka (Personality - Urbanity)

Anapenda kuwa na watu wengi au yeye na wewe tu? (Personality -Outgoingness)

Ni msemaji sana au mkimya? (Confidence)

Anaweza kuanzisha mambo au anataka kuanzishiwa? (Playfulness)

Anakupenda wewe zaidi ya wewe unavyompenda au wewe unampenda zaidi ya anavyokupenda wewe? (Love balance)

Mtiifu au muulizaji (Loyalty)

Mtu wa amorous performances au wa socialite concerns mostly? (Sexuality)

na mengine kama hayo, baada ya kujiuliza maswali hayo yote na wewe jiulize hayo hayo, halafu weka majibu hapa, then ma Dr. Loves wataweza kukusaidia (hata kwa mitishamba if need be)
 
Wanaume wa Kipare mpo naomba msaada wenu.
 
ANGALIZO:mapenzi ni zaidi ya ngono(au sex mnasema watu a mamtoni)!

hilo mliangalie ''wataalamu-wa jukwaa husika''
 
Swali limeulizwa kama wanawake wote wako sawa.

Mwanamke huyu yukoje?

Mweusi au mweupe? (Race)

Mdogo au mtu mzima? (Maturity)

Anapenda kukaa ndani au kutoka (Personality - Urbanity)

Anapenda kuwa na watu wengi au yeye na wewe tu? (Personality -Outgoingness)

Ni msemaji sana au mkimya? (Confidence)

Anaweza kuanzisha mambo au anataka kuanzishiwa? (Playfulness)

Anakupenda wewe zaidi ya wewe unavyompenda au wewe unampenda zaidi ya anavyokupenda wewe? (Love balance)

Mtiifu au muulizaji (Loyalty)

Mtu wa amorous performances au wa socialite concerns mostly? (Sexuality)

na mengine kama hayo, baada ya kujiuliza maswali hayo yote na wewe jiulize hayo hayo, halafu weka majibu hapa, then ma Dr. Loves wataweza kukusaidia (hata kwa mitishamba if need be)

Haya ni kweli ukishajua aina ya mtu wako kumrisha sio issue
 
hamjamwuliza anataka nini? je amekuwa na mwanamke akamrusha roho? au ndo anataka kuwa na mwanamke?haya toa jibu,
 
Swala hili wa kukujibu kifasahaa niulize mimi na mpwa Masanilo tu.

Baada ya majamboz ya mdada wa Kitanga lazima utakua fit. Si walikua wanakuelekeza maeneo yote ambayo ukienda wanajisikia mguso?
 
-Mpende kwa upendo wa dhati
-umjali (onyesha umuhimu wake kwako)
-Muheshimu
-mbembeleze
-Mpe pole kwa majukumu ya kazi za ofisini na nyumbani pia.
-Mwambie ahsante kwa kila jambo analokufanyia (akipika,akifua, n.k)
-ujue kumridhisha vizuri mnapokuwa private (kuta nne)
-Msaidie shughuli za nyumbani ambazo na wewe unajua unaweza kufanya.
Kwa mtazamo wangu kama mwanamke, ukimfanyia vitu hivi lazima tu mwanamke aridhike kimapenzi.
 
Nina wasi wasi hapo ndo swali lilipo Pretty
 
Nina wasi wasi hapo ndo swali lilipo Pretty
Kama swali lipo hapo inabidi hii thread ipelekwe jukwaa la wakubwa kule, maana inabidi iende kwa undani zadi. Haya makungwi mnakaribishwa.
 
mwanamke kuridhika ni namna yeye mwenyewe anakupenda kwa kiasi gani na anafurahia muda mnaokuwa naye kwa kiasi gani na muhimu zaidi ni namana anavyokuchukulia kimapenzi hasahasa wakati wa tendo la ndoa. vinginevyo hata ukiwa naye masaa 24, sanasana utamuumiza tu.
 
Hamna namna unaweza kumridhisha mwanadamu especially mwanamuke.
 
ukimla tigo mwanamke ndo utamridhisha kimapenzi
 
Back
Top Bottom