caxton
Senior Member
- May 8, 2015
- 145
- 149
Wandugu nawasalimu
Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo
Sasa mm Hali yangu kimwili ni mbaya muno ina maana ni hadi ajifungue akae tena miezi miwili ndipo tuanze kukutana, ukijumlisha na hiyo miezi miwili niliyokwisha kukaa Bila tendo, hivi nikiasi na kuanguka dhambini nitahesabiwa nimekosea
Maana Kuna huyu jirani yetu anapafanya kazi kwenye massage parlor sasa juzi nilimlalamikia kuwa bega linauma akadai nikodi chumba hoteli ili anichue bega litapona na ameonekana kutaka kunisaidia lile tatizo lingine pia
Ndipo nikaona nije niwahoji kuwa kama mwenzio hana uwezo wa kushiriki tendo
Inakuaje? Mungu aliweka utaratibu gani wa kumsaidia huyu mwingine