Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Dahh, Wakenya ni hatari sana.
Yaani Mbaba ameamua kuvulia kwenye tenga. Na mbaya zaidi huyo Samaki ni Mtoto wake.
Inatia Kinyaa pale Samaki anapoanza kusema "I Love my Father so much...."
Ila huyu Samaki nisingelitaka kukutana naye maana anabamiza kama Zena kwenye gazeti la Sani. Kama huamini basi muangalie kwenye Video anavyotembeza MIKONO.
Huyu Dada anatakiwa akapatiwe mafunzo awe Comandoo akawatie adabu Al Shabaab.
Yaani LADY IN RED she dancing with me .... in boxing. She can blow jabs like Remy Bonjasky.
Wakenya jirani zetu, msiwe aggressive namna hiyo. Mnawaondoa hata Wamama zenu kwenye ndoa zao ili muolewe na Waume zao ambao ni baba zenu?
Mkujage Ngazija mjifunzage jinsi ya kuwa na adabu.
Lady in red kweli anajua kulinda maeneo yake. Kashanogewa kwa Baba na haelewi kitu. Inavyoonekana Baba anajituma kisawasawa usiku. Kanogewa kama Diamond kwenye Namba 1.
Wagogo wanasema "Myujiyuji Mti Wa Lulenga Si Wa Kukata Zengo." Maana yake ni kuwa ingawa mti wa Myujiyuji ni mzuri sana kwa kwa sura, ila haufai kujenga nyumba.
Salamu zako Mwalimu wangu wa Kiswahili hapo Mazengo, Mama Kasira. Still remember this wimbo.