Eusebius Erneus
Member
- Jan 16, 2014
- 21
- 10
Kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushaur naumia mgongo nkimaliza tendo la kungonoka
Yap cuz am nah perfectNadhan kuna mambo u need to stand alone kama mwanaume na ufanye maamuzi. Hata hili unaomba ushauri mkuu?
Pagumu hApo bect angu maana hiyo mimba hata so yangu na demu mwenyew anadai anantaka badoHehee
We jamaa
Mwenzako anataka atoe mimba ili aendelee na shule
Na sio aendelee na wewe
Asante kwa kuwa rafiki mwema kwake , endeleaa na moyo huo huoo
Ila acha ulimbukenii , tuliaa usome...
We msamehe ila mwambie asitoe mimba mwendelee na mahusiano umsaidie kulea mkuuYap cuz am nah perfect
Anko nimeeka hii story cuz ts true story in.ma life u know huyo gush alikua dem angu lkn ckuwahi mgusa ngozi ta sku moja ila nlishangaa ananambia shez preg na nkaona kweli n after all akatoa hiyo mimba but anasema still ananipenda asa ndo nauliza kama ni wewe unachkua action ganiEusebius hv unaumri gan ww?
Km kweli hujawah kukutana nae kimwili mimba inatoka wap kaka?
~huon kam huyo mwanamke sio mwaminif kwako?
~mtu anaye kupenda anawezaje kuwa na mimba ambayo ww huijui?au ni bikira maria huo mpnz wako?
Hum sio kwa kuleta kila kitu muwe mumachuja kwanza.
~haya mleta mada we unaonaje anakufaa au hakufai?
Nb;baba amekula zabibu mbichi watoto wametiwa ganzii
TanteHahahhaha huo uzoba yaani na bado unataka Ushauri .... Amekupa libwata sio bure