Natafuta binti wa kuoa

jay-millions

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
3,693
8,982
Sifa muhimu
1. Awe mweupe hata kama ni kwa mkorogo
2. Awe na kazi halali inayomwingizia kipato
3. Umri miaka 25- 45
4. Kama ameelimika kuanzia diploma mpaka PHD huyo atapewa kipaumbele

Mimi nina miaka 30 naishi Dar kama upo single kama mimi nicheki pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom