No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa au mahusiano yoyote, nafahamu mnatafuta pesa kwa kila namna asubuhi mpaka jioni, kwa ajili ya hao mnaowaita wapenzi wenu! Swali hili huwa linaniumiza kichwa sana… hivi sisi wanaume tunapata nini hasa katika mahusiano(kiuchumi) zaidi ya kugegeda tu…. Mbona naona kama hakuna uwiano, kati ya huduma tunazotoa na kuingiza. Aaaah! Yaani ni Hasara tuuuu…