Natafuta rafiki wa kike

special87

Member
Mar 21, 2016
6
5
Hello,

Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.Napenda rafiki huyo awe mkristo mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye malengo ya maisha. Asizidi miaka 28.Asiwe mfupi.

Mimi nina umri wa miaka 29, ni muajiriwa serikalini, napatikana Dsm.Mambo mengine tutafahamishana.

Kama upo interested ni pm.
 
Weka vigezoo vyako na wewe mkuu!! wapo wengii humu utashindwaa mwenyewe kuchaguaa! pia mkuu unafanya wapi kazi hilo ni la muhimu Sana tegemea kuswalikwa swari hilo mm nimewasaidiaa tuu
 
Mkuu kumbe we ni mrohoo duh! we mgeni humu na ugeni wako huo huo unatafuta beibe? wenzio huwa wana nyuti Kwanzaa wanasoma mazingiraa!! oky tarajia kupataa maumivu ya moyo na ya mizingaa all the best!
 
Yaaani na wewe upo jukwaa hili na unatafuta mchumba kweli tusome elimu itusaidie kutukomboa .Mke mwema anatoka kwa bwana "
yani we ndo sio kabisa!
Sasa ulitaka huyu kaka asubiri ashushiwe mke kutoka mbinguni kama mana?siku kaamka asubuhi anakta mwanamke ndani kwake kaja kimiujiza?
Mshauri kama mda umefika atafute rafiki then aombe mungu amfunulie au amwonyeshe kama huyo ndo mke mwema kwake,mungu atajib maombi yake na kqma huyo binti ana tabia zisizofaa au la ataonyeshwa tu! baada ya hapo ataendelea na hatua za mbele!
special87 wasikuchoshe mwaya! hawa ndo wanaoomba mungu wapate kazi then wamekaa tu hata kutuma cv maofisini hawaeendi!
 
Sasa rafiki tu unaweka vigezo vya urefu, ufupi na dini?
Nani alikwambia ufupi/urefu na dini vina maana kwenye urafiki?!
Au unataka kutumia urafiki kama daraja?!
 
Hello,

Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.Napenda rafiki huyo awe mkristo mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye malengo ya maisha. Asizidi miaka 28.Asiwe mfupi.

Mimi nina umri wa miaka 29, ni muajiriwa serikalini, napatikana Dsm.Mambo mengine tutafahamishana.

Kama upo interested ni pm.

Kha!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom