kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,098
- 1,150
Mwezi January niliamia mji mmoja nyanda za juu kusini kimasomo,katika Wakati huu wote nimekuwa Mara nyingi nikipata chakula hasa cha jioni katika mgahawa mmoja karibu na chuoni kwangu.
Nilishangaa sikumoja mwezi wa pili nilipo kwenda kulipia gharama ya chakula kwa cashier na bila kutegema nilirudishiwa chenji iliyo zidi kiwango nilicho paswa kurudishiwak kwaufupi nilizidishiwa chenji,kwa kuwa niligundua hilo nikiwa hapo counter nili mrudishia kiwango cha pesa alichozidisha na kuondoka.
Nashindwa kumuelewa huyu dada maana kutoka February mpaka Jana jambo hili la kuzidishiwa chenji limetokea Mara ya tano mpaka jana,cha kushangaza jana Wakatina mrudishia pesa alizozidisha alisikika akisema"nenda tu kaka usijali" nkajikakamua nkaondoka.
Sasa Mimi nisilolijua kwa huyu dada ni Kuwa ananionea huruma au kuna jambo lingine ?Natamani kuhamia mgahawa mwingine maana simuelewi huyu dada.