Naomba kujuzwa kuhusu takwimu za UKIMWI za sahivi

lavian

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
722
329
Habari zenu wakuu,

Mimi niko njema kabisa.

Ningependa kuwauliza wanaojua kuhusu hili janga la UKIMWI lilipofikia
manake siku hizi watu wanaishi na hawana uoga wowote na ndo vile kinga kila kukicha watumiaji wanapungua.

Kwa wale madakitari au wanaojua zaidi data au ata kitaa unavyo sikia
ili kulinusuru taifa letu.
 
ukiongelea ukimwi nasikitika sana maana nilikuwa home halafu nikakutana na mke wa mjomba anao. Aisee acha tu mi huu ugonjwa nauogopa sana na nikijua mtu anao hata mkono naogopa kumshika
 
Ulijuaje anao
Nilimuona kabla sikuwa nafaham lakini afya yake ilikuwa dhoofu buti nilihisi ni ukimwi then nlivofika hom ndo nikaambiwa.. Iliniuma sana aisee yaaani dah.. ukimwi usikie tu ila pale utapogundua unao ndo utahisi dunia kama inakuelemea.
 
More than 2.1 billion between 15-24(adult ) in 2013 where affected with HIV.
so the thing still continue spreading
 
Nilimuona kabla sikuwa nafaham lakini afya yake ilikuwa dhoofu buti nilihisi ni ukimwi then nlivofika hom ndo nikaambiwa.. Iliniuma sana aisee yaaani dah.. ukimwi usikie tu ila pale utapogundua unao ndo utahisi dunia kama inakuelemea.
Kweli mkuu ila pole sana
 
Mimi simuogopi mtu mwenye virusi vya ukimwi najua nimecheza nao tumekula nao tumelala nao tumeshikana mikono and some huges hata kunikiss shavuni..Nina mpenzi wangu anavirus vya ukimwi tulikuwa tunafanya mengi tu bila mimi kujua after 1 year akaniambia nilishtuka but nikapoa nikikumbuka nilipotoka nimekoswakoswa na mikuki mingi sana tangu nikiwa O level mpaka sasa ni long time sana..In short nilipima na nikakuta niko poa na jana nilitoka kucheki afya niko poa kabsa na still niko na huyo she mpaka leo na tunatumia kinga kabla ya sex namuanda vya kutosha tukizingatia ushauri tuliopata zahanati.
Kama umepangiwa kuwa fundisho kwa wengi utaupata tu ndugu(kwa ajali,kwa mkwaruzo sehemu yeyote,hata denda) so play smart na usiwabague.Kama una mpenzi jaribu kumjali haujui leo au kesho mkuu
#UKIMWI(Upungufu wa kinga mwilini)
 
Back
Top Bottom